Waziri Nape Akabidhiwa Ripoti na Ushahidi Kuhusu Makonda Kuvamia Clouds

Bongo Entertainment 2017-03-22

Views 27

Waziri Nape Nnauye, hatimaye amekabidhiwa ripoti ya Paul Makonda, kuhusu sakata lake la kuvamia ofisi za Clouds. Nape ambaye ni Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ameipokea ripoti hiyo aliyokabidhiwa na tume aliyoiteua kushughulikia suala hilo. Kamati imethibitisha kwamba ni kweli Makonda alivamia studio za clouds akiwa na askari wenye bunduki kwa lengo la kushinikiza kipindi chake kirushwe kwa lengo la kumchafua mchungaji Josephat Gwajima ambaye amekuwa akishikilia msimamo wake kwambe mkuu huyo wa mkoa amefoji vyeti, na kwamba jina lake halisi ni Daudi Bashite na siyo Paul Makonda. #Paul Makonda #Daudi Bashite #Nape Nnauye# Mkuu wa Mkoa #Reginald Mengi #Rais Magufuli #Makonda #Bashite #Nape #Clouds #Clouds Media #Clouds FM #Ruge #Paul Makonda #Daudi Bashite #Nape Nnauye# Mkuu wa Mkoa #Reginald Mengi #Rais Magufuli #Makonda #Bashite #Nape #Clouds #Clouds Media #Clouds FM #Ruge #Paul Makonda #Daudi Bashite #Nape Nnauye# Mkuu wa Mkoa #Reginald Mengi #Rais Magufuli #Makonda #Bashite #Nape #Clouds #Clouds Media #Clouds FM #Ruge #Paul Makonda #Daudi Bashite #Nape Nnauye# Mkuu wa Mkoa #Reginald Mengi #Rais Magufuli #Makonda #Bashite #Nape #Clouds #Clouds Media #Clouds FM #Ruge #Paul Makonda #Daudi Bashite #Nape Nnauye# Mkuu wa Mkoa #Reginald Mengi #Rais Magufuli #Makonda #Bashite #Nape #Clouds #Clouds Media #Clouds FM #Ruge #Paul Makonda #Daudi Bashite #Nape Nnauye# Mkuu wa Mkoa #Reginald Mengi #Rais Magufuli #Makonda #Bashite #Nape #Clouds #Clouds Media #Clouds FM #Ruge #Paul Makonda #Daudi Bashite : https://www.youtube.com/watch?v=h3r8_... SAKATA LA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA HALIJAISHA. Ili usipitwe kwa lolote; #CLOUDS MEDIA GROUP. #RUGE MUTAHABA# PAUL MAKONDA # ASKOF GWAJIMA Jiunge nasi leo:# BREAKING NEWS: https://www.youtube.com/user/uwazi1 #Nape Nnauye# Mkuu wa Mkoa #Reginald Mengi #Rais Magufuli #Makonda #Bashite #Nape #Clouds #Clouds Media #Clouds FM #Ruge

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS