Simba 1 v 0 Azam FC: Simba Yazima Matumaini Ya Azam Kupanda Ndege Mwakani

Matudi 2017-10-23

Views 9

Simba Sports Club imezima ndoto za Azam FC kucheza michuano ya kimataifa mwakani baada ya kuibamiza bao 1-0 katika nusu fainali ya kombe la shirikisho Tanzania. Goli safi la Ibrahimu Mo lilizimisha ndoto za Azam kabisa.

Share This Video


Download

  
Report form