Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Views 23

Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa

I
Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa.
Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana.
Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa.
Nikitafuta juu na chini, lakini hakuna maneno yangeweza kusema,
yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi.
Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
Nainua mikono yangu kwa sifa, ninafurahia kwamba Ulikuja katika dunia hii.

II
Mwanadamu alitoka mavumbini, na Mungu akampa uhai.
Shetani alishuka chini kuwapotosha wanadamu.
Ubinadamu na mantiki yao yamepotea.
Kizazi baada ya kizazi, kimeanguka tangu siku hiyo.
Lakini Wewe ni … Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kuabudu?
Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

III
Mungu alimuumba mwanadamu na anampenda sana,
kiasi kwamba Alipata mwili tena,
Alistahimili mazuri na mabaya, taabu na huzuni,
Akituokoa na kutuleta mahali pazuri.
Tutakushukuru Wewe daima.
Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa! Ninawezaje kukosa kuabudu?
Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa! Ninawezaje kukosa kukuabudu?
Ninawezaje kukosa kukuabudu? Ninawezaje kukosa kukuabudu?

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Barua Pepe: [email protected]
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS