Sugu afungwe tu kwanza alikuwa ananizibia Riziki - FAIZA ALI

video bora 2018-02-27

Views 4

Mapema Leo Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi Maarufu kama SUGU alihukumiwa Kifungo cha Miezi mitano jela baada ya kukutwa na Hatia ya Kumdhihaki Rais Magufuli.

Baada ya hukumu hiyo nimefanya Exclusive Interview na Mzazi mwenzake, Faiza Ali ambaye ameniacha Mdomo wazi.

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS