Masogange aliniambia vitu viwili kabla ya kifo - Chopa

video bora 2018-04-26

Views 1

Msanii wa filamu Juma Chikoka “Chopa Mchopanga" ambaye alikuwa na marehemu Masogange dakika ya mwisho kabla ya kukata roho amefunguka kuzungumzia kauli tata ya mwisho aliyoitoa kuhusu maisha yake. Muigizaji huyo amedai marehemu alikuwa anasumbuliwa na pumu pamoja na mwili kuishiwa damu.

Share This Video


Download

  
Report form