Siri nzito yabainika ndani ya Yanga, yazua sintofahamu

Best Video en 2018-05-03

Views 3

Mambo mazito yanaendelea kubainika ndani ya klabu ya Yanga ambayo yanaitafuna Timu hiyo na kuzua sintofahamu kubwa. Siri yote ya Yanga imebainika ambayo inazidi kuleta vilio kwa mashabiki na kusababisha kushikana Mashati.

Share This Video


Download

  
Report form