EXCLUSIVE: Wema Aibariki Ndoa ya Diamond na Hamisa Mobetto
Katika hali isiyotarajiwa, malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu amesema kuwa hana tatizo kabisa endapo X-wake, Mbongo Fleva, Diamond Platnumz akioana na Mwanamitindo aliyezaa naye, Hamisa Mobetto.
Wema na Mobeto kwa muda mrefu wameonekana kama mtu na mpinzani wake wakidaiwa kumgombea Mbongo Fleva huyo.
Install #GlobalPublishersApp Android: iOS: Subscribe FACEBOOK: ... TWITTER: Visit , Subscribe