YANGA SC 2-2 RUVU SHOOTING: 1st HALF HIGHLIGHTS (VPL - 25/05/2018)

video bora 2018-05-26

Views 1

Mabao matatu yamefungwa ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza na kuifanya Yanga iende mapumziko ikiwa mbele kwa mabao 2-1.

Mabao ya Yanga yalifungwa na Matheo Anthony dakika ya 19 na Maka Edward dakika ya 39 huku Ruvu shooting wakipata bao lao kwa mkwaju wa penati kupitia kwa Khamis Mcha.

Mchezo huu ulimalizika kwa sare ya mabao 2-2 baada ya Isa Kanduru kuifungia Ruvu Shooting bao la kusawazisha dakika ya 46 ya mchezo.

Share This Video


Download

  
Report form