Mama Diamond Kumvimbia Mobeto Tena
Baada ya Diamond kuachia wimbo wake mpya alio mshirikisha Ray van wimbo huo umeendelea kufanya vizuri zaidi kupia mitandao mbali mbali ya kijamii huku wasafi waki post kwa wingi wimbo huo kuonyesha kusapoti kazi hiyo haswa mama yake Diamond ambae ameonekana kumsifia kwa wingi Zari huku akipost picha yake nakumwagia sifa kuwa ni mwanamke msafi.
lnstal GlobalPublishersApp Android: iOS: Subscribe FACEBOOK: ... TWITTER: Visit , Subscribe
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… WEBSITE: FACEBOOK: ... TWITTER: INSTAGRAM: ..
Category
News & Politics