Huu ni wimbo wa Mwisho wa Sam wa Ukweli aliokuwa akiuandaa siku chache kabla ya Umauti kumfika. Aliandika wimbo huu kutokana na hali ya kutatanisha ya Ugonjwa uliokuwa unamsumbua.
Uongozi wa TOPTEN TV unatoa pole kwa wafiwa wote, Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu.