Mimi sio Roma au Diamond Huyu Naibu Waziri ningempiga - Sugu

Best Video en 2018-06-20

Views 4

Mbunge nyimbo la Mbeya mjini nchini Tanzania Mh. Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu alalamika Bungeni kuwa wimbo wake umevuja na bado hajautoa lakini BASATA Wameshaufungua. Akichangia Bungeni alipewa taarifa na Naibu waziri wa Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo kuwa hakufuata sheria katika kutoa wimbo huo, na kisha akajibu kuwa yeye sio Roma Mkatoliki au Diamond Platinumz angempiga Naibu waziri huyo. Sugu ameongeza kuwa amendaa mawakili 6 kwa ajili ya kuwaburuza BASATA Mahakamani kufuatia kufungia wimbo huo wenye Mashairi ya uchochezi.

Usipitwe na Matukio Muhimu kutoka Kenya, Tanzania na Uganda kwa Lugha ya Kiswahili katika channel hii. Subscribe sasa na bofya alama ya kengere inayotokea baada ya Subscribe. Fungua Link hii .

Share This Video


Download

  
Report form