MUNA LOVE Aweka Wazi Baba Halali wa Mtoto PATRICK

Hottest Videos en 2018-07-19

Views 1

Baada ya mvutano wa muda mrefu juu ya mtoto PATRICK ambaye alifariki siku za hivi karibu na kuibua sintofahamu juu ya baba mzazi wa mtoto huyo ni nani baina ya PETER na CASTO DICKSON hatimaye mama mzazi wa marehemu MUNALOVE ameweka wazi juu ya sakata hilo.

Kupitua kwenye press comference aliyokuwa ameitisha leo mwanadada MUNALOVE amekiri mbele ya waandishi wa habari kuwa mtoto wake PATRICK alikuwa na baba mmoja tu na ni CASTODICKSON.

Share This Video


Download

  
Report form