Hii Ndio Sababu ya Zitto Kutakiwa Polisi Ndani ya Siku Mbili

video bora 2018-08-02

Views 1

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola leo ametoa agizo la kumtaka Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kuripoti Polisi mkoani Lindi. Muungwana imekuletea video ambayo imesababisha Zitto kutakiwa Polisi.

Share This Video


Download

  
Report form