RICH MAVOKO Aichinja WASAFI, Ashinda KESI mbele ya BASATA

Popular Video en 2018-08-09

Views 5

Msanii Rich Mavoko ameshinda kesi ya kujiengua katika Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB). Kesi hiyo ilikuwa ikisikilizwa katika Ofisi za Baraza la Sanaa Tanzania (Basata).

Takribani miezi miwili iliyopita taarifa zilianza kusambaa kuwa Mavoko ametimuliwa WCB huku nyingine zikieleza kuwa amejiengua mwenyewe.

Aidha, viongozi wa lebo hiyo hawajataka kuweka bayana kinachoendelea dhidi ya Mavoko ambapo hivi karibuni, Mmoja wa viongozi hao, Hamis Taletale ‘Babu Tale’ hivi karibuni alikaririwa akisema wakati wa kuzungumzia jambo hilo haujawadia.
........................................................................................................
Habari zote za Mastaa kutoka kila pande ya dunia utazipata hapa RICK MEDIA. Interviews, Live Events, Comedy & Udaku masaa 24.
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook
---------------------------------------------------------------------------------
Website
-----------------------------------------------------------------------------------

#RickMedia #RichMavoko #Wasafi #DiamondPlatnum #Alikiba #WemaSepetu #JacklineWolper #Tanzania #Bongofleva #Harmonize

Share This Video


Download

  
Report form