Breaking: Chama Cha Mapnduzi CCM kimepatwa na MSIBA MZITO,aliewahi kua Mwenyekiti wa CCM

video bora 2018-09-13

Views 3

Aliyewahi kuwa M/Kiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) Taifa, baadaye Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar, John Guninita amefariki leo alfajiri ktk Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa. Mdogo wake Gerald Guninita aliyewahi kuwa DC amethibitisha.

Share This Video


Download

  
Report form