"Kama CHADEMA tulifanya makosa kumleta kwenu Mwita waitala kwasababu amewasliti wana Ukonga, juzi juzi bungeni alikua anamsema Rais Magufuli kuwa kawasaliti wananchi kwani hatekelezi ahadi alizozitoa na leo anasema Magufuli jembe hivi ni kweli??? Nawaomba mumchague Asia Msangi kwa kura nyingi tu" Ha;lima Mdee Mbunge wa Kawe