Lissu awasha moto, ajibu kauli ya Polepole,Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu amefungukia kauli ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole iliyosema kuwa mwisho wa wakujiunga na chama hicho ukitokea upinzani ni mwezi Disemba mwaka huu.