Mababu " />
Mababu "/>
Mababu ">

2018 Christian Music "Usimamizi wa Mungu Daima Ukiendelea Mbele" (Swahili Subtitles)

Views 20

2018 Gospel Music "Usimamizi wa Mungu Daima Ukiendelea Mbele" (Swahili Subtitles)

Mababu wa wanadamu, Adamu na Hawa, walipopotoshwa na Shetani, Mungu alianza usimamizi Wake wa wokovu wa wanadamu. Tangu wakati huo, Amefanya kazi bila ya kukoma: Mungu alitangaza sheria kuwaongoza wanadamu, na Yeye binafsi alikuja miongoni mwa wanadamu kusulubiwa na kuwakomboa wanadamu, na katika siku za mwisho, Mungu anaendelea na kazi Yake, akitimiza unabii wa Biblia: "Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali" (Yohana 14:2). "Naja upesi; na Nina thawabu Yangu, kumpa kila mwanadamu kulingana na vile matendo yake yatakuwa" (Ufunuo 22:12).

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: sw.godfootsteps.org/ 
Kanisa la Mwenyezi Mungu YouTube: youtube.com/channel/UCkUDnudSY6_KR123N2Yr7mw
Kanisa la Mwenyezi Mungu Facebook: facebook.com/kingdomsalvationsw/
Kanisa la Mwenyezi Mungu Twitter: twitter.com/CAGchurchsw
Kanisa la Mwenyezi Mungu Instagram: instagram.com/thechurchofalmightygodsw/
Kanisa la Mwenyezi Mungu Vimeo: vimeo.com/thechurchofalmightygodsw
Kanisa la Mwenyezi Mungu Blogger: nikanisalamwenyezimungu.blogspot.com/
Kanisa la Mwenyezi Mungu Wordpress: nikanisalamwenyezimungu.wordpress.com 
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod 
App Store: itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433 
Barua Pepe: [email protected]
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192

Baadhi ya vifaa ni kutoka:
https://www.holyspiritspeaks.org/special-topic/copyright.html

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS