Raila Ajitokeza Kwa Mara Ya Kwanza Tangu Kuambukizwa Covid-19

EbruTVKENYA 2021-03-14

Views 4

Kiongozi Wa Odm Raila Odinga Amejitokeza Kwa Mara Ya Kwanza Tangu Kuambukizwa Covid-19. Katika Kanda Iliyochapishwa Kwenye Mtandao Wake Wa Kijamii, Raila Anaonekana Akifanya Mazoezi Mepesi Nje Ya Nyumba Yake Huku Binti Yake Winnie Akimpa Moyo.

Share This Video


Download

  
Report form