Gavana Wa Wajir Mohammed Abdi Mohammud Atajua Hatma Yake Hapo Kesho Kuhusiana Na Mswada Wa Kumbandua Mamlakani Kutokana Na Tuhuma Za Ufisadi. Gavana Huyo Anatarajiwa Kufika Mbele Ya Bunge La Kaunti Ya Wajir Kujibu Mashtaka Dhidi Yake. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi…………