Wakaazi Wa Ngelani Walalamikia Hali Mbaya Ya Daraja La Inyooni

EbruTVKENYA 2021-04-28

Views 2

Wakaazi Wa Vijiji Vya Mbukoni, Nduu, Kiteini Na Musilili, Eneo La Mutituni, Wadi Ya Ngelani Wanalalamikia Changamoto Wanayokumbana Nayo Kutokana Na Hali Mbaya Ya Daraja La Inyooni Hasa Msimu Huu Wa Mvua. Hii Ni Kwa Sababu Mto Huo Umejaa Na Kuvunja Kingo Zake. Na Kama Anavyotueleza Mwanahabari Wetu Aziza Hashim, Wakaazi Hao Sasa Wanaiomba Serikali Ya Kaunti Ya Machakos Kuingilia Kati Katika Urekebishaji Wa Ujenzi Wa Daraja Hilo...

Share This Video


Download

  
Report form