Watu 3 Waaga Katika Ajali Barabarani Changamwe, Mombasa

EbruTVKENYA 2021-04-29

Views 0

Watu Watatu Wameaga Dunia Huku Wengine Wakipata Majeraha Katika Ajali Tata Ya Barabarani Eneo La Changamwe Kaunti Ya Mombasa Iliyohusisha Gari La Abiria Na Lori, Inadaiwa Gari Hilo La Abiria Lilipoteza Mwelekeo Na Kuanguka Kutoka Darajani Kabla Ya Kugongana Ana Kwa Ana Na Lori Hilo Na Kisha Kubingirika Mara Kadhaa.

Share This Video


Download

  
Report form