Mahafala Wakosa Kazi Lamu Walikusudia Kupata Kazi Katika Bandari Ya Lamu

EbruTVKENYA 2021-06-02

Views 2

Zaidi Ya Mahafala 400 Walioahidiwa Kazi Katika Bandari Ya Lamu Wanalalama Kunyimwa Nafasi Za Kazi Katika Bandari Ya Lamu Iliozinduliwa Hapo Juzi. Waliopewa Nafasi Hizo Wanadaiwa Kutopata Mafunzo Ya Kuhudumia Bandari Hio .

Share This Video


Download

  
Report form