Bomu Lisilolipuka Limepatikana Eneo La Soitpus, Kaunti Ya Samburu Na Watoto Walipokuwa Wakichunga Mifugo, Kilometa Moja Kutoka Nyumbani Mwao. Kulingana Na Naibu Wa Komanda Wa Kaunti Hiyo, Abdikadir Malicha, Timu Ya Maafisa Lilitambulisha Kuwa Bomu Hiyo Ilikuwa Ya Zamani Ya Gari .