Waziri Wa Elimu Profesa George Magoha Amepiga Marufuku Ya Utumizi Wa Mabasi Ya Shule Kwa Shuhuli Za Mazishi Na Siasa. Waziri Magoha Anadai Hatua Hiyo Itasaidia Katika Kuwakinga Wanafunzi Kutokana Na Kuenea Kwa Virusi Vya Corona Miongoni Mwa Wanafunzi. Kwa Sasa Watakaotaka Kutumia Mabasi Hayo Watalazimika Kuomba Ruhusa Kutoka Kwa Wizara Ya Elimu Kama Anavyoeleza Mwanahabari Milliah Kisienya.