Waziri Wa Kilimo Peter Munya Amewarai Wakulima Wa Majani Chai Kusubiri Hadi Pale Bei Ya Zao Hilo Litakapoimarika.Munya Amesuta Bei Duni Ya Zao La Bidhaa Hiyo Kutokana Na Ongezeko La Zao Hilo Kote Nchini.Bei Hizo Zimemulikwa Katika Kaunti Ya Mombasa Ambapo Wakulima Hao Wamelazimika Kuuza Zao La Majani Chai Kwa Shilingi 193 Ikilinganishwa Na Bei Yao Ya Shilingi 183..