Baadhi Ya Viongozi Kutoka Mlima Kenya Wamekanusha Madai Kuwa Mkoa Huo Umegawanywa Na Wamedai Mwaka Ujao Watapiga Kura Kwa Umoja. Wakiongozwa Na Aliyekuwa Seneta Wa Embu Lenny Kivuti, Viongozi Hao Wamesema Wameungana Kuweka Mikakati Ili Kuunganisha Kaunti Za Meru, Tharaka Nithi Na Embu.