Raila Asema Serikali Kuwekeza Zaidi Katika Bima Ya Afya Ya Umma Itapunguza Mzigo Wa Ada Ya Matibabu

EbruTVKENYA 2021-08-01

Views 2

Kinara Wa Chama Cha Odm Raila Odinga Ameitaka Serikali Kuwekeza Zaidi Katika Bima Ya Afya Ya Umma Kwa Wote Hasa Kufuatia Changamoto Za Afya Zinazoshuhudiwa Wakati Huu Kutokana Na Janga La Corona. Raila Anasema Janga Hili Limeweka Wazi Mianya Ilioko Katika Sekta Hii Muhimu Humu Nchini Huku Akishikilia Uwa Hatua Ya Haraka Inapaswa Kuchukuliwa Kuimarisha Sekta Hiyo.

Share This Video


Download

  
Report form