Watahiniwa Wa KCPE Budalangi Wamelazimika Kulala Shuleni Kutokana Na Adhari Za Mafuriko

EbruTVKENYA 2021-08-17

Views 3

Watahiniwa 15 Kutoka Shule Ya Msingi Ya Maduwa Eneo Bunge La Budalangi Wamelazimika Kulala Shuleni Kutokana Na Mafuriko Eneo Hilo. Wanafunzi Hao Wanashikilia Kuwa Wanahofia Kupoteza Maisha Yao Wakati Wanavuka Mto Eneo Hilo Huku Wakiitaka Serikali Kuu Kupitia Wizara Ya Elimu Kuingilia Kati. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi………….

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS