Ndugu Wawili Wenye Umri Wa Miaka 10 Na 7 Kutoka Kaunti Ya Kajiado Walioacha Masomo Kutokana Na Madai Ya Kunajisiwa Na Baba Yao Wamerejeshwa Shuleni Na Wasamaria Wema. Peninah Mulae, Mama Wa Watoto Wanne Amekuwa Aking'angana Kujipatia Riziki Na Kukimu Mahitaji Ya Familia Yake. Na Kama Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anavyotuarifu, Yeye Ni Moja Tu Kati Ya Wanawake Wengi Wanaohitaji Ufadhili Kutoka Kwa Serikali Na Wasamaria Wema.