Japo Mahakama Imetupilia Mbali Mgomo Wa Wahadhiri Kote Nchini, Baadhi Ya Wahadhiri Kutoka Muungano Wa Wahadhiri Nchini Wameonyesha Ghadhabu Yao Kutokana Na Kile Wanadai Ni Mahakama Kutumiwa Vibaya. Kulingana Na Wahadhiri Hao Mahakama Imefeli Kusikiza Matakwa Yao Yakiwemo Mkataba Wa Maelewano Wa Mwaka 2017-2021 Ambao Hadi Kufikia Sasa Haujaangaziwa Vikamilifu Kama Anavyoeleza Mwanahabari Milliah Kisienya……