Matiang'i, Kibicho Na Mutyambai Wanatarajiwa Kufika Bungeni

EbruTVKENYA 2021-08-31

Views 4

Naibu Rais William Ruto Ameitaka Kamati Ya Usalama Ya Bunge La Kitaifa Kutojadili Hatma Ya Usalama Wake Hapo Kesho Akidai Kuwa Kamati Hiyo Inapoteza Muda Wake. Hii Ni Baada Ya Waziri Wa Usalama Daktari Fred Matiangi, Naibu Wake Karanja Kibicho Pamoja Na Inspekta Generali Hillary Mutyambai Kutakiwa Kufika Mbele Ya Kamati Hiyo Hapo Kesho Kuelezea Kuhamishwa Kwa Maafisa Wa Gsu Katika Makao Makuu Ya Naibu Rais William Ruto.

Share This Video


Download

  
Report form