Washikadau Katika Sekta Ya Utalii Wameelezea Afueni Yao Baada Ya Nchi Ya Uingereza Kulegeza Vikwazo Vya Usafiri. Kenya Imekuwa Mojawapo Ya Nchi Zilizodhibitiwa Kusafiri Kutokana Na Ongezeko La Maambukizi Ya Corona. Mbunge Wa Kilifi Kaskazini Owen Baya Ametoa Wito Kwa Serikali Kuhakikisha Wahudumu Katika Sekta Ya Utalii Wamepewa Kipaumbele Kupata Chanjo Ya Corona.