Waziri Wa Maji Na Unyunyuziaji Mashamba Sicily Kariuki Ameagiza Mwanakandarasi Ambaye Alipewa Jukumu La Kujenga Mradi Wa Maji Wa Ol Kalou Kuwasilisha Ratiba Yake Ya Kazi Ndani Saa 24.Hii Moja Wapo Ya Pilka Pilka Za Serikali Kuhakikisha Miradi Yote Iliyopangiwa Kujengwa Eneo La Nyandarua Na Sehemu Zingine Za Mlima Kenya Inakamalika