Wizara Ya Afya Iko Katika Harakati Za Kuhakikisha Watu Zaidi Wanapokea Chanjo Dhidi Ya Ugonjwa Wa Covid 19 …Kufikia Sasa Nambari Ya Watu Wanaojitokeza Kuchanjwa Bado Iko Chini Kulingana Na Wizara Ya Afya .Kuhakikisha Watu Zaidi Wamechanjwa Wahudumu Wa Afya Sasa Wamebadili Mkondo Na Sasa Wanapeleka Chanjo Mitaani. Lillian Kamau Na Taarifa Zaidi.