Serika Imeanza Kutoa Fedha Za Uhamisho Kwa Familia Usemi Zilizoathirika Na Ukame Katika Mpaka Wa Kaskazini Mwa Nchi. Mpango Huo Unalenga Familia Elfu Mia Moja Na Kila Familia Itapokea Shilingi Elfu Tano Na Mia Nne. Waziri Wa Ulinzi Eugene Wamalwa Anasema Familia Hizo Zilizokumbwa Na Ukame Zimeanza Kufaidika Na Mpango Wa Shilingi Milioni 558 Zilizotolewa Mwezi Agosti.