Familia Ya Shujaa Koitalel Arap Samoei Kutoka Nandi Yalilia Fidia

EbruTVKENYA 2021-10-20

Views 2

Familia Ya Shujaa Wa Uhuru Koitalel Arap Samoei Imeadhimisha Miaka 116 Tangu Kufariki Kwake Tarehe 19 Octoba Mwaka Wa 1905. Viongozi Pamoja Na Familia Ya Mwendazake Wanazitaka Serikali Za Kenya Na Uingereza Kutekeleza Wajibu Wao Na Kutoa Fidia Pamoja Na Ardhi Walioahidiwa.

Share This Video


Download

  
Report form