Viongozi Kutoka Maeneo Kame Wanazidi Kuibua Hisia Mseto Kuhusiana Na Ukame Ambayo Inazidi Kuadhiri Zaidi Ya Kaunti 20 Nchini. Mbunge Wa Wajir East Rashid Amiin Ameshikilia Kuwa Baadhi Ya Wakaazi Kutoka Wajir Wamehama Makaazi Yao Kutafuta Chakula Na Maji Safi Ya Kunywa Huku Wengine Hata Wakielekea Nchi Jirani. Aidha Serikali Imeshikilia Kuwa Imeelekeza Billioni 2.4 Kukabiliana Na Baa La Njaa Katika Kaunti Hizo.