Haji Apuuza Madai Ya Kung'atuliwa Mamlakani

EbruTVKENYA 2021-10-28

Views 9

Mkuu Wa Mashtaka Ya Umma Noordin Haji Amefutilia Madai Ya Kung'atuliwa Mamlakani Hivi Karibuni Na Kudai Atakaye Mrithi Atakuwa Na Raghba Ya Mkanja Katika Shughuli Ya Haki Na Utendakazi Wake. Hii Ni Baada Ya Mwanabiashara Francis Njeru Pamoja Na Familia Ya Tob Cohen Kuwasilisha Maombi Yao Kumng'atua Kwa Madai Ya Kutohakikisha Haki Yao Imetendeka.

Share This Video


Download

  
Report form