Miguna Afika Katika Ubalozi Wa Kenya Ujerumani Kusaka Vyeti Vya Usafiri.

EbruTVKENYA 2021-11-23

Views 5

Siku Moja Tu Baada Ya Mahakama Kutoa Amri Yakuwa Wakili Migunamiguna Apokezwe Vyeti Vya Usafiri, Ubalozi Wa Kenya Nchini Ujerumani Umedinda Kumkabidhi Miguna Vyeti Hivyo. Miguna Ambaye Alifika Na Amri Hiyo Ya Mahakama Kwenye Ubalozi Huo Alionyeshwa Kisogo Na Kuishia Kwenye Majibizano Katika Yake Na Wafanyikazi.

Share This Video


Download

  
Report form