Maandalizi Ya Siku Ya Ukimwi Duniani, Brian Asimulia Maisha Yake Alipogundua Ana Virusi Vya Ukimwi

EbruTVKENYA 2021-11-30

Views 15

Huku Ulimwengu Ukijiandaa Kusherekea Siku Ya Wanaoishi Na Ukimwi Nchini Inayoadimishwa Tarehe 1 Disemba Kila Mwaka. Wananchi Wanaendelea Kuhimizwa Watupilie Mbali Unyanyapaa Dhidi Ya Wanaoishi Na Virusi Vya Hiv... Tulizungumza Na Mmoja Wa Wanaoishi Na Virusi Hivi Na Anatueleza Jinsi Maisha Yake Yamekuwa Tangu Ajue Ana Virusi Hivyo..

Share This Video


Download

  
Report form