Rais Ametumia Fursa Hiyo Kuwakumbusha Wakenya Watakayoyakosa Endapo Mchakato Wa Bbi Hautafaulu. Rais Akisema Kwamba Mchakato Huo Ulikua Wa Kupeleka Taifa Mbele Na Kuziba Mianya Inayorudisha Maenedelao Na Taifa Kwa Ujumla Nyuma. Kwa Sasa Mchakato Huo Wa Bbi Upo Mbele Ya Mahakama Ya Upeo Huku Rufaa Hiyo Ikianza Januari Mwaka Ujao.