Usimamizi Wa Kamati Shikilizi Ya FKF Itaendesha Soka La Humu Nchini Kwa Miezi Sita

EbruTVKENYA 2021-12-08

Views 4

Huenda Kenya Wakakosa Mwakilishi Katika Dimba La Klabu Bingwa Na Kombe La Mashirikisho Afrika Caf Msimu Ujao Iwapo Taratibu Za CAF Na FIFA Hazitafuatwa.Kulingana Na Katibu Mtendaji Wa Gor Mahia Lodvick Aduda Uwepo Wa Kamati Shikilizi Ya FKF Bila Idhinisho La Fifa Utalemaza Juhudi Za Vilabu Nchini Kushiriki Mashindano Ya Barani.

Share This Video


Download

  
Report form