Sherehe Za Kuadhimisha Siku Ya Jamuhuri Mwaka Huu Zitafanyika Katika Bustani Ya Uhru Gardens Pale Watu 11,000 Ndio Watakaopata Fursa Ya Kuhudhuria Hafla Hiyo Hapo Kesho. Kulingana Na Waandalizi Wa Sherehe Hiyo Masharti Ya Kuzuia Kuenea Kwa Virusi Vya Corona Yatazingatiwa.