Wanachama Wa ODM Wamesihi Kingi Kujiunga Na Chama Cha ODM

EbruTVKENYA 2021-12-14

Views 4

Wanachama Wa ODM Kaunti Ya Kilifi Wamemtaka Gavana Wa Kaunti Hiyo Amason Kingi Kujiunga Na Chama Cha ODM. Wakiongozwa Na Mbungwa Wa Ganze Teddy Mwambire Wameshikilia Kuwa Chama Cha PAA Ikiongozwa Na Kingi Wanafaa Kuunga Mkono Kinara Wa ODM Raila Amolo Odinga Kabla Ya Uchaguzi Mkuu Kwani Mkoa Wa Pwani Ni Ngome Ya Chama Cha ODM.

Share This Video


Download

  
Report form