Mbunge Wa Ganze Teddy Mwambire Anataka Hela Za CDF Kuongezwa

EbruTVKENYA 2021-12-15

Views 3

Mbunge Wa Ganze Teddy Mwambire Ametuma Ombi Kwa Bunge La Kitaifa Kulishinikiza Liongeze Fedha Za CDF Ili Kuwezesha Wabunge Kufanya Maendeleo Kwenye Vijiji. Mwambire Amesema Kuwa Fedha Zinazotengwa Kwa Ajili Ya CDF Ni Asilimia Mbili Nukta Tano Ambazo Ni Kidogo Hasaa Eneo La Pwani Ambapo Idadi Kubwa Ya Wakaazi Wanaishi Kwa Ufukara.

Share This Video


Download

  
Report form