Mwanaume Mmoja Mwenye Umri Wa Miaka 41 Katika Kaunti Ya Murang'a Eneo Bunge La Gathiagara Amekiri Kulawitiwa Na Wanaume Watatu. Tukio Hilo Linadaiwa Kufanyika Siku Ya Jumatatu Usiku Wiki Iliyopita Alipokuwa Akitembea Nyumbani Kutoka Kituo Madukani Cha Kahethu Baada Ya Kulewa Na Wenzake