Naibu Rais William Ruto Ameelekeza Makali Ya Upaga Wake Wa Kisiasa Kwenye Chama Kipya Cha DAP Kilichozinduliwa Hapo Jana. Ruto Ametaja Chama Hicho Kinachoongozwa Na Waziri Eugene Wamalwa Kama Ambacho Kinachotumika Kupanga Jamii Ya Mulembe Ili Imtelekeze Kinara Wa Anc Musalia Mudavadi Kabla Ya Uchaguzi Mkuu Ujao. Ruto Aliyasema Haya Katika Ziara Yake Ya Eneo La Magaharibi Alopoandamana Na Baadhi Ya Wanasiasa Kutoka Eneo Hilo.