Huku Janga La Ukame Likizidi Kukumba Maeneo Mengi Nchini,Visa Vya Utapiamlo Katika Eneo La Bamba Kaunti Ya Kilifi Vinazidi Kuongezeka Kila Uchao.Asilimia 90 Ya Wakazi Katika Eneo Hili Wanaishi Katika Umasikini Na Ukosefu Wa Chakula Huku Watoto Wenye Umri Wa Miaka Mitano,Wazee,Kinamama Wenye Mimba Na Wale Wanaonyonyesha Wakiathirika Zaidi.