Raila Odinga Asema Anayo Siri Ya Kumbwaga Ruto Katika Uchaguzi Mkuu Ujao

EbruTVKENYA 2022-01-03

Views 6

Kinara Wa Odm Raila Amolo Odinga Hii Leo Amesisitiza Kuwa Anaazimia Kukomboa Nchi Hii Kiuchumi Iwapo Atakuwa Rais.Kiongozi Huyo Akiwa Ameandamana Na Mbunge Wa Lugari Ayub Savula Aliyehamia Muungano Wa Azimio Ameendelea Kuwasuta Wale Wanaowahadaa Wakenya Kwa Ahadi Za Uongozi.

Share This Video


Download

  
Report form